Kisanduku cha Kuhifadhi Mizigo cha Gari – Ngozi ya Ubora wa Juu
Panga gari lako kwa urahisi na haraka!
Organizer hii ya buti ya SUV yenye kifuniko ni suluhisho bora kwa bidhaa mbalimbali – kuanzia vyakula vya dukani, vifaa vya ofisini, mikoba, viatu hadi toys za watoto!
Inakunjika na Kubebeka
Usipotumia – inakunjika kabisa na haichukui nafasi kubwa.
Unaweza kuihamisha kwa urahisi – kuweka kiti cha nyuma, mbele au katikati ya gari lako.
UKUBWA
Inapofunguliwa: 75 × 31 × 29 cm
Inapokunjwa: Hadi cm 7.6 pekee – haichukui nafasi kabisa!
Inafaa kwa gari lolote – Sedan, SUV, Truck au Van!
Sehemu Nyingi za Kuhifadhi
Ina sehemu 2 kubwa za kuhifadhi, na unaweza kuongeza ya 3 kwa kutumia kigawanyaji kinachotolewa.
👉 Usafi wake ni rahisi – futa kwa kitambaa chenye unyevu.
Imara na Ya Kudumu
✅ Imetengenezwa kwa vifaa imara vinavyostahimili matumizi ya kila siku
✅ Inastahimili maji na mikwaruzo
✅ Kushonwa kwa uimara zaidi sehemu zinazotumika sana
JINSI YA KUPOKEA:
🚚 Tunakupelekea hadi ulipo – Lipia ukiipokea (Cash on Delivery)
Reviews
There are no reviews yet.